top of page
Ushirika wa Wanawake
Jumamosi, 15 Apr
|Ontario
Akina dada tuna nafasi nyingine ya baraka kushirikiana na kujenga imani yetu!! Tukio ni la BURE, hata hivyo tafadhali jisajili ili tuwe na mpangilio mzuri wa chakula cha mchana. Chakula cha mchana na huduma ya watoto vitatolewa.
Registration is closed
See other events

bottom of page
